Tumpara Dudu
JF-Expert Member
- Nov 15, 2016
- 625
- 506
Ndugu zangu awali ya yote natanguliza tena msamaha kwenu iwapo nitakuwa nimefanya kosa lolote ktk kuumba huu uzi wangu aidha kama nimepost ktk ukumbi ambao sio wake au kama nimeurudia baada ya kuwa uliwahi kupostiwa humu. Hii ni kwasababu, bado sijajua vyema kutumia JF.
Pili nawataarifu kuwa,leo ni siku yangu tukufu ya kuzaliwa(birthday).
Tatu, Naomba ushauri na elimu yenu juu ya jambo lifuatalo:
Mimi ni mjasiriamali,najishughulisha na biashara ya Mabucha ya nyama,uuzaji wa mchele wa kyela na uuzaj wa duka la nguo za kike za mitumba, viatu na pochi. Aidha namiliki pia Tigo pesa na Fast food. Nina mpango wa kuanzisha biashara ya video production & still picture.
Hivyo nataka niziunganishe biashara zangu zoote ziwe chini ya kampuni moja na nimefikiria kampuni hyo niite "BINSOWA BUSNESS COMPANY".
Nikiwa na maana, Sowa ni jina langu la ukoo na hvyo Bin Sowa, nina maana, mtoto wa sowa.
Je! Kisheria nipo sahihi?
Naomba pia mpendekeze majina mengine nichague but hilo Sowa lisikosekane ktk mapendekezo yenu. Sitaki jina la kampuni lioneshe upendeleo kwa biashara moja tu nataka liwe wazi ili niwe na uhuru wa kufanya biashara yoyote chini ya kampuni yang bila ya kuhitaji kurekebisha jina tena.
Mwisho, Naomba yule mwenye details za kufungasha na kusafirisha mzigo wa nguo kutoka UGANDA anisaidie cont zake nimtafute, namuhitaj sana anisaidie