Msaada wa jina zuri la duka la pembejeo za mifugo.

Mr coffee

Member
Joined
Mar 12, 2018
Posts
74
Reaction score
34
Habari Ndg. wana Jff.
.
.
.
.
Kama kichwa tajwa hapo juu cha mada, Mimi ni mjasiriamali ambaye nalenga ufunguzi wa duka la pembejeo za mifugo.
Hivyo niko mbele yenu kuhitaji msaada wa jina ambalo litakuwa ZURI na lenye mvuto wa kuhakisi biashara yangu ambayo nalenga kuifungua .
.
.
.
.
Niko teyari kupokea, maoni yenu..
Asanteni....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…