Jurrasic Park
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 3,801
- 6,806
Kwani ukizalisha dume kuna kesi gani?Habari
miss wangu anaingiaga mwezini tarehe 15 kila mwezi japokuwa miezi mingine inakuwa irregular kama 20, 18. Baada ya kutafuta mitandaoni, nilishindwa kuelewa ki trump language.
kwa wenye watoto wa kike, ni siku ipi ambayo iliwapa watoto hao?
nawasilisha
nb.masihara sipendi
Mimi binafsi nina uwezo wa kukuelezea kwa vitendo,kwa hiyo kama kuna KE anayetafuta mtoto wa kike,mimi nipo tayari kufanya practical ya kupatikana mtoto wa kike.Habari
miss wangu anaingiaga mwezini tarehe 15 kila mwezi japokuwa miezi mingine inakuwa irregular kama 20, 18. Baada ya kutafuta mitandaoni, nilishindwa kuelewa ki trump language.
kwa wenye watoto wa kike, ni siku ipi ambayo iliwapa watoto hao?
nawasilisha
nb.masihara sipendi
Hauo serious wewe. Mi nnae mtoto wa kike ila hata sijui siku niliyotungisha mimba yake. Sasa swali lako kwamba nilifanyaje mimi nilistarehe na mke wangu akapata mimba.Habari
miss wangu anaingiaga mwezini tarehe 15 kila mwezi japokuwa miezi mingine inakuwa irregular kama 20, 18. Baada ya kutafuta mitandaoni, nilishindwa kuelewa ki trump language.
kwa wenye watoto wa kike, ni siku ipi ambayo iliwapa watoto hao?
nawasilisha
nb.masihara sipendi
Hizi story tu. Mungu ndio anapanga jinsia.tuchuchukulie mwanamke wako ana kalenda ya siku 28, la kuzingatia ni kuhesabu siku 14 kurudi nyuma toka siku ya mwisho ya kalenda ambayo ni tarehe 28. kwa hiyo baada ya kurudi nyuma kwa siku 14 tarehe itakayofikiwa ni tarehe 14 ya kalenda yake (maana 28-14=14), hiyo ndio siku ambayo yai la mwanamke hufanywa urutubishwaji. kibaiolojia na kitaalamu kuna takribani siku 6 hadi 7 za kuwezekana kutungwa mimba, siku 4 kabla ya siku ya urutubishwaji na siku 2 baada, kwa hiyo uwezekano wa kupata mtoto wa kike kwa kiwango kikubwa ni kwa siku 4 kabla hadi siku 2 kabla mana gamete X (ke) huchelewa kuteleza kuelekea kwenye ovum kuliko gamete Y (me). kwa hiyo kwa kutumia kalenda tarehe 28 siku nzuri kwa ajili ya kutunga mimba ya kike ni kwenye tarehe 10, 11, 12 na uwezekano kiasi wa tarehe 16 wa kalenda hii niliyotolea mfano. mgegedo mwema!!
11,12Kwa mfano mimi napata siku zangu tarehe 11 - 14 na ninamzunguko wa siku 28 je tarehe ya kupata mtoto wa kike hapo ni ipi?
Sijakuelewa ni tarehe 11 na 12 au siku ya 11 na 12 baada ya kumaliza period11,12
Ukitaka dume unalenga siku ya 14Sijakuelewa ni tarehe 11 na 12 au siku ya 11 na 12 baada ya kumaliza period
Kwenye mambo ya uzazi hasa kubalance jinsia hakuna fomula,unaweza shangaa uzao wako wote ni vibinti tu....unadhani Obama hakupenda kupata hata kajambazi kamoja tu?Mi mpangilio wangu nataka dume kisha jike kwanza halafu nikiongeza naweka dume tena kisha jike. Inshort nataka balance ya vidume na visichana.
Hahahah af pia inaendana na damu, angalia kama ukoo wenu umetawaliwa na mabinti basi ujue watoto wengi watazaliwa mademu.Kwenye mambo ya uzazi hasa kubalance jinsia hakuna fomula,unaweza shangaa uzao wako wote ni vibinti tu....unadhani Obama hakupenda kupata hata kajambazi kamoja tu?