Msaada wa jinsi ya ku - upgrade icloud

Msaada wa jinsi ya ku - upgrade icloud

Revolution 22

Member
Joined
Jun 11, 2021
Posts
63
Reaction score
141
Wakuu icloud yangu imejaa nashindwa namna ya kuiupgrade mwenye utalamu naomba maelekezo tafadhali

IMG_1551.png
IMG_1550.png
 
tengeneza mastercard au visa card au km unatumia ya bank its fine

ukiclick hapo km umechagua hiyo ya 1900 itakuletea ujaze details za card inayotumika kufanya malipo utajaza (hakikisha kuwe na hela ) utalipa

kama hujaelewa pole mi kulekeza ni 0
 
Duh kwq jwel cjaelewa mkuu
 
Back
Top Bottom