Revolution 22 Member Joined Jun 11, 2021 Posts 63 Reaction score 141 Jul 8, 2024 #1 Wakuu icloud yangu imejaa nashindwa namna ya kuiupgrade mwenye utalamu naomba maelekezo tafadhali
M Mpalakugenda JF-Expert Member Joined Jun 2, 2015 Posts 4,611 Reaction score 5,009 Jul 8, 2024 #2 Bure ama kwa hela?
Revolution 22 Member Joined Jun 11, 2021 Posts 63 Reaction score 141 Jul 8, 2024 Thread starter #3 Mpalakugenda said: Bure ama kwa hela? Click to expand... Kwa hela
Amehlo JF-Expert Member Joined May 8, 2019 Posts 10,104 Reaction score 29,178 Jul 8, 2024 #4 tengeneza mastercard au visa card au km unatumia ya bank its fine ukiclick hapo km umechagua hiyo ya 1900 itakuletea ujaze details za card inayotumika kufanya malipo utajaza (hakikisha kuwe na hela ) utalipa kama hujaelewa pole mi kulekeza ni 0
tengeneza mastercard au visa card au km unatumia ya bank its fine ukiclick hapo km umechagua hiyo ya 1900 itakuletea ujaze details za card inayotumika kufanya malipo utajaza (hakikisha kuwe na hela ) utalipa kama hujaelewa pole mi kulekeza ni 0
Revolution 22 Member Joined Jun 11, 2021 Posts 63 Reaction score 141 Jul 9, 2024 Thread starter #5 Amehlo said: tengeneza mastercard au visa card au km unatumia ya bank its fine ukiclick hapo km umechagua hiyo ya 1900 itakuletea ujaze details za card inayotumika kufanya malipo utajaza (hakikisha kuwe na hela ) utalipa kama hujaelewa pole mi kulekeza ni 0 Click to expand... Duh kwq jwel cjaelewa mkuu
Amehlo said: tengeneza mastercard au visa card au km unatumia ya bank its fine ukiclick hapo km umechagua hiyo ya 1900 itakuletea ujaze details za card inayotumika kufanya malipo utajaza (hakikisha kuwe na hela ) utalipa kama hujaelewa pole mi kulekeza ni 0 Click to expand... Duh kwq jwel cjaelewa mkuu