Kinau Michael
Member
- Aug 18, 2023
- 8
- 13
Habari za asubuhi ndugu,
Nawiwa kuanzisha biashara ya super market naomba kufahamu kwa wale ambao wamewahi kufanya biashara hii natakiwa kuzingatia nini na nini?
Ni vitu gani havipaswi kukosekana kabisa kwenye hiyo super market (Min Market)