Kinau Michael Member Joined Aug 18, 2023 Posts 8 Reaction score 13 Sep 11, 2024 #1 Habari za asubuhi ndugu, Nawiwa kuanzisha biashara ya super market naomba kufahamu kwa wale ambao wamewahi kufanya biashara hii natakiwa kuzingatia nini na nini? Ni vitu gani havipaswi kukosekana kabisa kwenye hiyo super market (Min Market)
Habari za asubuhi ndugu, Nawiwa kuanzisha biashara ya super market naomba kufahamu kwa wale ambao wamewahi kufanya biashara hii natakiwa kuzingatia nini na nini? Ni vitu gani havipaswi kukosekana kabisa kwenye hiyo super market (Min Market)
mwanamwana JF-Expert Member Joined Aug 1, 2011 Posts 1,309 Reaction score 4,798 Sep 11, 2024 #2 Mtafute INSIDER MAN atakuwa na cha kukusaidia.
Kinau Michael Member Joined Aug 18, 2023 Posts 8 Reaction score 13 Sep 11, 2024 Thread starter #3 mwanamwana said: Mtafute INSIDER MAN atakuwa na cha kukusaidia. Click to expand... Thanks
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 301,577 Reaction score 754,412 Sep 13, 2024 #4 Kinau Michael said: Habari za asubuhi ndugu, Nawiwa kuanzisha biashara ya super market naomba kufahamu kwa wale ambao wamewahi kufanya biashara hii natakiwa kuzingatia nini na nini? Ni vitu gani havipaswi kukosekana kabisa kwenye hiyo super market (Min Market) Click to expand... Kodi/jenga jengo linalokidhi mahitaji ya Mini supermarket.. Kuwa na bidhaa za kuanzia.. Mostly home consumbles .. Kisha baada ya hapo makampuni mbalimbali yataleta bidhaa zao kwa mkubaliano ya commission ama kuwakodisha shelves
Kinau Michael said: Habari za asubuhi ndugu, Nawiwa kuanzisha biashara ya super market naomba kufahamu kwa wale ambao wamewahi kufanya biashara hii natakiwa kuzingatia nini na nini? Ni vitu gani havipaswi kukosekana kabisa kwenye hiyo super market (Min Market) Click to expand... Kodi/jenga jengo linalokidhi mahitaji ya Mini supermarket.. Kuwa na bidhaa za kuanzia.. Mostly home consumbles .. Kisha baada ya hapo makampuni mbalimbali yataleta bidhaa zao kwa mkubaliano ya commission ama kuwakodisha shelves