Msaada wa jinsi ya kubadili Kadi ya gari, aliyeniuzia naye alilinunua kwa mtu na hakubadili umiliki, Kadi bado inasoma aliyeliagiza nje

Kampuni inayouza magari premium inaitwa japanesevehicles.com hao beforward wanasubiri..jamaa wanajiita trust company limites..
Exactly! Ila bei za Trust zipo njema,na Pia inspection report zao zipo wazi;Ila kama mtu mfuko wake upo Poa ni the best huwez fananisha na kampuni kama Sbt,befoward and the likes.
 
Exactly! Ila bei za Trust zipo njema,na Pia inspection report zao zipo wazi;Ila kama mtu mfuko wake upo Poa ni the best huwez fananisha na kampuni kama Sbt,befoward and the likes.
Wakati nakua mzee wangu alikua anaagiza magari kampuni hio ila bei zao zimesimama sana na wanachaji hadi funguo ya ziada yani unaona gari imetumika lakini ni safi sana..hapa nilipo natumia gari ya urithi ina miaka 10 ilinunuliwa huko huko trust..
 
Tafuta mwanasheria muamdikishaane mkataba Kama mmiliki wa kwanza ndio amekuuzia wewe.
Uhii, itakusaidia kuokoa adhabu ya kuchelewesha kubadili jina
 
Bila kitambulisho na picha ya mmiliki anaesoma kwenye kadi hii ngoma in ngumu itabidi afuate maagizo yako.
[/QU
Ni kweli mkuu! sina ujanja inabidi tukapige magoti kwa mmiliki wa kwanza
 
Dalali haaminiki kusema ule ukweli
 
Dawa ni wewe kumtafuta 'bwege' mwingine na kumuuzia kwa staili uliyouziwa wewe
next time nunua gari isiyo na shida
ndo nilichokifanya mimi nilipojikuta kama wewe na mmiliki wa mwanzo hapatikani
Duh mie pia nna shida hio hio sema sijahangaika nayo tu.
 
Ukimpata mmiliki wa kwanza una bypass ila lazma uwapooze ma vehicle.
 
Kuna mwamba tulimuuzia escudo ila shida ikaja yule mmiliki wa kwanza hapatikani. Uchawi ulianzia hapo 😂😂😂
Bila kitambulisho na picha ya mmiliki anaesoma kwenye kadi hii ngoma in ngumu itabidi afuate maagizo yako.
 
Tafuta mwanasheria muamdikishaane mkataba Kama mmiliki wa kwanza ndio amekuuzia wewe.
Uhii, itakusaidia kuokoa adhabu ya kuchelewesha kubadili jina
How long adhabu ya kuchelewa kubadili jina inaanza kufanya kazi. After 6 months, year?
Yaani mfano nimenunua gari/pikipiki leo kwa mtu. Naanza kupewa adhabu kuanzia leo au baada ya muda gani?
 
Kampuni inayouza magari premium inaitwa japanesevehicles.com hao beforward wanasubiri..jamaa wanajiita trust company limites..
Aaaaah wale jamaa ni kiboko. Hawavumi kama beforward ila wanagari used zenye standards na uafadhali wa hali ya juu.

Ila tu bei zao zimechangamka kwa hali ya uchumi wa sasa....
 
Gari ni kesi inayotembea....

Unanunuaje gari kwa mtu huendi kwenye vyombo husika kuhakikisha umiliki wake kama ni wa halali...? hata kama uneuziwa elfu 30...kwa nini usiende TRA na kwa Vehicle inspector kujua uhalali wa gari..?

Au ikute liliwahi kufanya matukio ya ujambazi, liligonga mtu akafa na mengineyo meengi...

Nina rafiki yangu alinunua Carina TI kwa mtu Dar akaja nayo Arusha, kaendesha wiki mbili tu wazee wa kazi wakampiga ngeta..[emoji41][emoji41]
Kumbe gari liliwahi kufanya uhalifu mkoa fulani, likakimbiziwa Dar, Likauzwa Arusha...kesi ya gari ilikuwa ni mbaya sana

Wazee wa kazi walimpa kauli moja tu, "unaachia gari au tuondoke wote"

Jamaa akakubali yaishe, gari likaondoka na hakurudishiwa hata mia....Mmiliki halali akaenda kutafutwa akajibu mashtaka yake.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uongo!
 
How long adhabu ya kuchelewa kubadili jina inaanza kufanya kazi. After 6 months, year?
Yaani mfano nimenunua gari/pikipiki leo kwa mtu. Naanza kupewa adhabu kuanzia leo au baada ya muda gani?
Wao watajuaje umechelewa kubadili jina?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…