Msaada wa jinsi ya kubadili Kadi ya gari, aliyeniuzia naye alilinunua kwa mtu na hakubadili umiliki, Kadi bado inasoma aliyeliagiza nje

Inawezekana ni kweli au siyo kweli

Kuna kamchezo kanafanywa nowdays.
 
Mkataba unachukua dakika ngapi kuandaa?
Una maana gani dada sijakuelewa.
Nimesema unawaonesha mkataba ule mliuziana gari siku hiyo. Kwenye huo mkataba tarehe si itaonekana.
Sasa masuala ya kuandaa mkataba sijaelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…