The Initiator huru
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 1,993
- 2,635
Mmegoma kuchangia??Hello, wakuu naomba msaada wa jinsi ya kukaanga karanga kwa ajili ya kuuza. Je, naweza tumia microwave katika kukaangia karanga au je, nitumie nini katika kukaanga karanga?
Msaada tafadhali
Dah asanteBinafsi karanga huziandaa katika sufuria utia kijiko kimoja cha maji na utia chumvi, pilipilli na Iliki uzigeuza ipasavyo kisha kuweka katika moto kiasi.
Muda wote uhakikisha nageuza. Baada ya muda zikisha kwiva uziondoa na kuziweka katika combo cha wazi (Sahani). Tayari kwa kuliwa
Huandaa zangu za kutafuna maana ni mpenzi mkubwa wa karanga.
Sababu ya kuziosha ni ipi kama zinaivia kwenye mchanga?Ebu jaribu hii idea alafu utanipa mrejesho.
Chukua karanga zioshe vizuri kisha zipate jua zikauke, zikishakauka zitoe, chukua sufuria lako tia mchanga wa kujengea/mtoni mix karanga na chumvi mule ndani kaanga huku unageuza kama vile unapepeta mchele kwa kutumia mikono miwili.. hii idea niliiona miaka mingi iliyopita nikiwa bado kinda
Nafanya hivyo pia lkn sijawahi weka pilipili. Ni pilipili ya unga?Binafsi karanga huziandaa katika sufuria utia kijiko kimoja cha maji na utia chumvi, pilipilli na Iliki uzigeuza ipasavyo kisha kuweka katika moto kiasi.
Muda wote uhakikisha nageuza. Baada ya muda zikisha kwiva uziondoa na kuziweka katika combo cha wazi (Sahani). Tayari kwa kuliwa
Huandaa zangu za kutafuna maana ni mpenzi mkubwa wa karanga.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]. Dah! Ngoja ajeSababu ya kuziosha ni ipi kama zinaivia kwenye mchanga?
Labda kuondoa fangas🙄Sababu ya kuziosha ni ipi kama zinaivia kwenye mchanga?
Hapo amejichanganya ,unaziloanisha unaziweka chumvi unazianika halafu unachukuwa mchanga usiokuwa na vumbi unaweka kwenye chombo cha kukaangia unaweka jikoni ukipata joto unaweka karanga unakaanga zikiwa tayari unazipembua.Sababu ya kuziosha ni ipi kama zinaivia kwenye mchanga?
Labda kuondoa fangas🙄
Baada ya hapo huwa naziosha na maji yenye chumvi nazikausha juani ili chumvi igandiane na karanga. Then nazikaanga kwa kutumia mchanga.
Yes! Pilipili ya unga, ni appetizer fulani inaongezwa kwa karanga.Nafanya hivyo pia lkn sijawahi weka pilipili. Ni pilipili ya unga?
Hizi njia za kizamani hazifai kwa sasa. Waachie wapogoro 🤣Ebu jaribu hii idea alafu utanipa mrejesho.
Chukua karanga zioshe vizuri kisha zipate jua zikauke, zikishakauka zitoe, chukua sufuria lako tia mchanga wa kujengea/mtoni mix karanga na chumvi mule ndani kaanga huku unageuza kama vile unapepeta mchele kwa kutumia mikono miwili.. hii idea niliiona miaka mingi iliyopita nikiwa bado kinda
Zamani enzi hizo ndugu yangu anauza UJUGU (KARANGA) ,alikuwa anaziosha anaweka chumvi anaanika,Hello, wakuu naomba msaada wa jinsi ya kukaanga karanga kwa ajili ya kuuza. Je, naweza tumia microwave katika kukaangia karanga au je, nitumie nini katika kukaanga karanga?
Msaada tafadhali
Ikipata moto jikoni panakalika?Yes! Pilipili ya unga, ni appetizer fulani inaongezwa kwa karanga.
Bro umenichekesha sana 😁Ikipata moto jikoni panakalika?