Msaada wa jinsi ya kuondoa makovu ya tetekuwanga

Msaada wa jinsi ya kuondoa makovu ya tetekuwanga

Princekyoma

Member
Joined
Apr 2, 2023
Posts
31
Reaction score
20
Naomba kujuzwa dawa au mafuta ya kuondoa makovu baada ya kupitiwa tetekuwanga
 
Naomba kujuzwa dawa au mafuta ya kuondoa makovu baada ya kupitiwa tetekuwanga
Dawa Pharmacy zinapatikana, ila Kwa kuanzia Scar removal, peeling solutions zinaweza kukusaidia.

Zaidi zoea kutumia cosmetics zenye ingridients zifuatazo.
Glycolic acid
Lactic acid
Vitamin E cream/lotion

Ukiweza tafuta na sunscreen na moisturiser.
 
Back
Top Bottom