Jurrasic Park
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 3,801
- 6,806
habari za majukumu wana jf
Naomba msaada wa kutengeneza kachumbari
nina viungo hivi; nyanya, kitunguu maji, karroti, pilipili hoho, limao
naomba muongozo wa jinsi ya kuandaa kama kutakua na nyongeza tafadhali mnielekeze