Jurrasic Park
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 3,801
- 6,806
Kachumbari haina ufundihabari za majukumu wana jf
Naomba msaada wa kutengeneza kachumbari
nina viungo hivi; nyanya, kitunguu maji, karroti, pilipili hoho, limao
naomba muongozo wa jinsi ya kuandaa kama kutakua na nyongeza tafadhali mnielekeze
Kachumbari haina ufundi
Ulitafuna kokwa ya ndimu wewe.nipe mbinu za kutengeneza maana nilijaribu nikaishia kuimwaga yote maana ilikua chungu kama dawa
Seriously???habari za majukumu wana jf
Naomba msaada wa kutengeneza kachumbari
nina viungo hivi; nyanya, kitunguu maji, karroti, pilipili hoho, limao
naomba muongozo wa jinsi ya kuandaa kama kutakua na nyongeza tafadhali mnielekeze
Ulitafuna kokwa ya ndimu wewe.