hamisi nondo
Senior Member
- Aug 21, 2011
- 192
- 172
.wenye uwelewa kuhusu namna ya kuitoa giyo system ya immobilizer anifahamishe maana ukipoteza funguo tu au ukidondosha funguo bhas lak 3.5 zinakutoka hiv hiv ili kupata sensor ingine,,sasa jaman hakuna namna ya kuitoa hii au hata waya za kuunga ili kuifanya iwe direct
Unaweza itoa hiyo immobilizer chip ukaifunga karibu na ignition switch. Muda wote gari litakua lina sense umetumia funguo sahihi hata ukiweka funguo isiyo na immobilizer..wenye uwelewa kuhusu namna ya kuitoa giyo system ya immobilizer anifahamishe maana ukipoteza funguo tu au ukidondosha funguo bhas lak 3.5 zinakutoka hiv hiv ili kupata sensor ingine,,sasa jaman hakuna namna ya kuitoa hii au hata waya za kuunga ili kuifanya iwe direct
ni gari aina gani mkuu kuna gari zingine huwezi itoa hiyo systerm. ukitaka kupaata msaada wa kina nivizuri ukaongezea nyama shida yako.wenye uwelewa kuhusu namna ya kuitoa giyo system ya immobilizer anifahamishe maana ukipoteza funguo tu au ukidondosha funguo bhas lak 3.5 zinakutoka hiv hiv ili kupata sensor ingine,,sasa jaman hakuna namna ya kuitoa hii au hata waya za kuunga ili kuifanya iwe direct
ni gari aina gani mkuu kuna gari zingine huwezi itoa hiyo systerm. ukitaka kupaata msaada wa kina nivizuri ukaongezea nyama shida yako
inatoka hiyo mkuu uko wapi wwToyota wish mkuu
inatoka hiyo mkuu uko wapi wwToyota wish mkuu
Taborainatoka hiyo mkuu uko wapi ww
Naitoaje mkuu nielekeze mkuuinatoka hiyo mkuu uko wapi ww
nyoosha maelezo ya kina mkuu ni gari aina gani na ina engine ganiNaitoaje mkuu nielekeze mkuu
Toyota wish engine ya 1zz-fenyoosha maelezo ya kina mkuu ni gari aina gani na ina engine gani
option mbili ya kwanza kubadili control box na kuweka isiyo na immobilier .ukitaka control hiyo nioneToyota wish engine ya 1zz-fe