mfukunyunzi
Senior Member
- Mar 4, 2011
- 142
- 26
Naomba msaada wa kujiunganishia internet ya TTCL kuna waya wao wa simu upo ndani nyumbani. Je ninahitaji vifaa gani vingine ili kuweza kujipatia huduma za internet kwenye kompyuta yangu? Naomba mnijulishe tafadhali ili nikavitafute ili nami nijipatie huduma ya internet.
Natanguliza shukrani.
Natanguliza shukrani.