mfukunyunzi
Senior Member
- Mar 4, 2011
- 142
- 26
Mkuu, huwezi ukajiunganishia mwenyewe, kwanza unahitaki kuwa na modem ya DSL, then uende TTCL office ukajaze fomu za maombi ya kuunganishiwa internet. Pia kumbuka line yako ya simu kwa sasa haiko activated kwenye internet hivyo lazima ukawaone kwanza.
kwa hiyo una maanisha kuwa internet za ttcl hazichakachuliki?
Customer care ndo solution ndugu.. Just go na utapata maelezo yote na mbona wanazo modem na wanatoa unlimited bundles unalipia muda na siyo data ambazo utatumia ndugu? jaribu modem zao utaenjoy.