Msaada wa jinsi ya kuweka MS Office kwenye Window 10

Msaada wa jinsi ya kuweka MS Office kwenye Window 10

Rangi ya buti

Member
Joined
Sep 5, 2015
Posts
57
Reaction score
39
Habari humu jamvin!

Nina PC yangu Lenovo window 10 nikitaka kuweka program yeyote inakataa...inahitaji trusted programs
Nitafanyaje na ninahitaji kuistall MS Office.
 
Back
Top Bottom