Ukienda TRA hiyo pikipiki itabaki huko huko kama haina kadi na mmiliki hajulikani nakushauri wasiliana na mtu aliye kuuzia akupe kadi aisee vinginevyo itakuwa mali ya seruikali sio mdawadau habari! mi nina pikipiki nilinunua ila kadi ndio sina namaanisha pikipiki used naweza vp kupata kadi au kutumia njia ipi kupata umiliki halali wa iyo pikipiki?