Msaada wa karatasi kubwa zinazotumika kutengenezea mifuko ya kufungia dawa

Msaada wa karatasi kubwa zinazotumika kutengenezea mifuko ya kufungia dawa

Kaselele

Senior Member
Joined
May 19, 2022
Posts
171
Reaction score
476
Wakuu habari za jioni

Naomba msaada wa kufahamishwa sehemu zinapopatika karatasi kubwa zinazotumika kutengenezea vifuko vya kufungia dawa (dispensing envelopes) kwa maeneo ya Dar es Salaam.

Au kama kuna kiwanda kinachotengeneza hizi karatasi kubwa pia sio mbaya.

Natanguliza shukrani za dhati.
 
Nitafute 0744033555
 
Nununa rim paper tengeneza mwenyewe ila kama unataka za kununua NENDA kariakoo msimbazi ilipo ofisi ya Startimes ulizia mitaa iyo
 
Huku nilipo wanauza shilingi 15000/=
Mbona Bei ya kawaida kabisa kwasababu utatengeneza package nyingi zitakazo kaa muda mrefu kuliko kununua kwa jumla utamfaidisha mwngne ila all in all uwamuzi ni wako
 
Back
Top Bottom