Nitafute 0744033555Wakuu habari za jioni
Naomba msaada wa kufahamishwa sehemu zinapopatika karatasi kubwa zinazotumika kutengenezea vifuko vya kufungia dawa (dispensing envelopes) kwa maeneo ya Dar es Salaam.
Au kama kuna kiwanda kinachotengeneza hizi karatasi kubwa pia sio mbaya.
Natanguliza shukrani za dhati.
Sh ngapi?Rim zimekuwa ghali sana
Mbona Bei ya kawaida kabisa kwasababu utatengeneza package nyingi zitakazo kaa muda mrefu kuliko kununua kwa jumla utamfaidisha mwngne ila all in all uwamuzi ni wakoHuku nilipo wanauza shilingi 15000/=