Msaada wa katiba NGO!

MAKULUGA

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2011
Posts
7,828
Reaction score
10,527
Wadau salaamu !
Naomba mwenye ufahamu wa namna ya kuandika katiba ya NGOs kuhusu masuala ya kijamii ,anisaidie ..tuna mawazo tunashindwa kuataekeleza kutokan ana ukiritimba wa seriklai na ombwe la uongozi ,ni heri kuamua kuyatekeleza kivyako ...nchi sasa haina mwnewe!
Natumaini wadau mtanisaidie !
 
Mkuu hapa natumia sim, hivyo siwezi ku-upload ujiridhishe, but nikikaa sawa nitakupatia.

But njia nzuri zaidi (kwa mujibu wa uzoefu wangu) ni kusajili LLC limited by guarantee pale brela, then unaapply for certificate of compliance kwa registrar of NGO kwa VPO.
 
Ahsante Mkuu!
Nasubiri ,afu nimependa maelezo yako ...ya LLC by Guarantee.!naomba maelezo zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…