Msaada wa katiba ya Kikundi au Saccos

Kwa succos lazima uwe na data base

Ila kama ni za vikoba vya kuvunja mwaka mzima sawa nenda Google utazikuta nyingi

Kumbuken kufungua account ya bank Kwa ajili ya usalma wa pesa zenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…