Kadu wa Kasongo
New Member
- Feb 15, 2025
- 2
- 2
Habari zenu wakuu.
Mimi ni mgeni hapa JF lakini nimekuwa nikifuatilia platform hii kwa miaka kadhaa sasa.
Lengo la kuja hapa jukwaani ni kuomba msaada wenu wa kazi ya aina yoyote ile ili mradi tu niweze kupata kipato chochote cha kuisaidia familia yangu...
Binafsi nina elimu ya kidato cha sita niliyohitimu ( Jitegemee JKT SS) na ujuzi wa upigaji picha na utengenezaji wa Filamu (Filmmaking) pia niliwahi kuhudhuria mafunzo ya uandaaji wa filamu na vipindi vya televisheni pale UDSM....
Pia nimewahi kushiriki katika uandaaji wa filamu kadhaa...
Kwa sasa, sina mtaji wala vifaa vya kuniwezesha kufanya filamu na ninapitia hali ngumu, hivyo ninaomba kwa dhati yeyote aliye tayari anasaidie kupata kazi yoyote.
Natanguliza Shukrani Zangu Kwenu.