Msaada wa kesi ya kuvamiwa na kupigwa

Mgazini

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2013
Posts
293
Reaction score
39
Habari
Ukiomba kubadilishiwa hakimu kesi itaendelea au inaanza upya?
 
Habari
Ukiomba kubadilishiwa hakimu kesi itaendelea au inaanza upya?

hakimu anaeipokea ndiye mwenye uamuzi kwamba ianze upya au iendelee kwa kuangalia uzito wa ushahidi uliokwisha tolewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…