mrishow1
Member
- Feb 5, 2019
- 47
- 15
HABARI WANA JF!
Nina shida naomba mwenye uelewa anieleze nini tatzo
Ninaishi na jamaa yangu, sasa jamaa huyu ana mchumba wake.
Alikuwa mbali kwa takribani miezi miwili hivi
Sasa jana mchemba ake huyo akawa amerejea na kwa mda wote huo jamaa hakuwahi fanya tendo la ndoa, sasa jana amefanya na mchemba wake lakini akaanza kulalamika anapata maumivu makali sana sehemu za siri hasa anapokua anakojoa toka jana hadi hivi sasa
Naomba nijuzwe ni tatizo gani na namna ya kumsaidia
#shukrani