Si mimiSi useme tu ni wewe?
Anyway yaweza kuwa UTI au Gono
Siyakukothamela Sonini na nini
ShukranDalili za mwanzoni za ugonjwa wa gonorrhoea, muda si mrefu ataanza kutoa discharge. Hawahi mapema matibabu, kiufupi huyo mchumba ni mzinifu aka anapigwa kwingine
Sent using Jamii Forums mobile app