BABA LEA WATOTO
JF-Expert Member
- May 6, 2017
- 352
- 782
Pole na mihangaiko na pilika pilika wakuu, naomba niende kwenye maada moja kwa moja;
Ni hivi, Nina tatizo la kiafya ambalo limekuwa linanisumbua karibu miezi mitano sasa, iko hivi; ghafla nikawa najisikia mwili kuchoka, joto na sehemu za ndani za uzazi kuuma na hata uume kuto kusimama hasa nyakati za asubuhi kinyume na nilivyozoea. Ilinilazimu niende kituo cha afya wakapima mkojo na nikaambiwa nina UTI nikapewa dawa na kuanza kuzitumia.
Baada ya kuzitumia dawa hizo niliona hali kama inaendelea nikalazimika kwenda hospitali huko nikawaeleza wakaniambia siku hiyo hawapimi wanibadilishie tu dawa , hata hivyo baada ya kutumia nilipata nafuu kiasi lakini hali ile ikawa bado nikalazimika kupima tena kama Mara mbili kukawa hakuna UTI japo maumivu bado nayasikia hasa sehemu za ndani za viungo vya uzazi na hata uume hausimami sana kama zamani nyakati za asubuhi, je tatizo litakuwa nini, tafadhali naombeni ushauri wenu! Asanteni