Msaada wa kiafya

Majita

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2008
Posts
609
Reaction score
191
Ndugu wana bodi nina maswali mawili naomba mnisaidie,

1.Nililala na msichana ikiwa ni siku ya 7 baada ya kuanza mzunguko wake na akapata ujauzito pia msicha huyo huyo nililala nae iliwa ni siku ya 18 baada ya kuanza mzunguko wake pia akapata ujauzito. Je hii inatokana na nini au ndo nilikuwa nasingiziwa mimba ambazo sio zangu.

2.Kwa nini mwanamke anaweza kutoka damu akiwa mjamzito mimba ya miezi chini ya 3 na nini chanzo chake(sababu) na madhara yake ni yapi
 
Sasa hizo mimba.... mlizitoa au
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…