Weka kila kitu namaanisha kila senti inayoingia na kutoka kwenye maandishi hapo utakuwa na uwezo wa kucalculate faida na hasara kiurahisi sana...faida ni ile pesa inahobaki baada ya kutoa matumizi yako yote ikiwemo mtaji na matumizi kama kulipa wafanyakazi,kodi,umeme,taka na vyote vinavyohusiana na hiyo biashara.