Msaada wa kibiashara

Msaada wa kibiashara

Bematt

Member
Joined
Apr 26, 2019
Posts
14
Reaction score
4
Hivi unadhani ni biashara gani ambayo baada ya miaka 5 au 10, ambayo ukiwekeza kwa wakati huu inaweza kuleta faida kubwa
Maoni yako yanaomba yawe chanya kuhusiana na hili swala
 
Kuanzisha kiwanda Cha Cement Kama Dangote.
 
nami nasubiri wachumi na waliofanikiwa mapema watiririke, tujaze madini kwenye bongo zetu
 
Hivi unadhani ni biashara gani ambayo baada ya miaka 5 au 10, ambayo ukiwekeza kwa wakati huu inaweza kuleta faida kubwa
Maoni yako yanaomba yawe chanya kuhusiana na hili swala
Upo sehemu gani?i mean mkoa
 
Back
Top Bottom