Kuanzisha kiwanda Cha Cement Kama Dangote.Hivi unadhani ni biashara gani ambayo baada ya miaka 5 au 10, ambayo ukiwekeza kwa wakati huu inaweza kuleta faida kubwa
Maoni yako yanaomba yawe chanya kuhusiana na hili swala
Sasa ndio ungespecify hiyo biashara uliyoulizia wewe ni ya mtaji kiasi gani.Kuanzisha kiwanda cha saruji kinahitaji mtaji mkubwa xana ambao kwa kijan mdogo. Inakuwa ngumu
Wewe capital yako ni kiasi gani?Xawa ndg ila kwa idea yako inaahtaji capital kubwa
Hapo sawa inabidi uwe wazi Kama hvyo ndio utasaidika kirahisi350000Tsh
Upo sehemu gani?i mean mkoaHivi unadhani ni biashara gani ambayo baada ya miaka 5 au 10, ambayo ukiwekeza kwa wakati huu inaweza kuleta faida kubwa
Maoni yako yanaomba yawe chanya kuhusiana na hili swala
Sawa kwa dares salaam biashara ni ngumu kwa sasa ingekuwa mikoani kwa huo mtaji ningekushauri chakufanyaKwa sasa niko Dar es salaam