msaada wa kidaktari manajf

msaada wa kidaktari manajf

maege

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2012
Posts
309
Reaction score
73
Samahani wapendwa kuna rafiki yangu ameona siku zake leo ni siku ya kumi na moja na haoni dalili za kustop na anasema alivyokuwa anaanza alitoa damu nyingi sana akichanganika na mabonge.

Naomba ushauri afanye nini au matibabu yake ni nini?

Asanteni
 
Aende hospital kuna sindano watamchoma (dawa iko vichupa vidogo) ili kukata damu, ni hali inayoweza kutokea asishtuke sana, pia apunguze vitu vya sukari
 
Aende hospital kuna sindano watamchoma (dawa iko vichupa vidogo) ili kukata damu, ni hali inayoweza kutokea asishtuke sana, pia apunguze vitu vya sukari
Asante kwa ushauri
 
Mkuu Maege, Pole..

1. Unaposema damu inatoka nyingi(the word "nyingi is very subjective).

Ni vizuri kujua kama yake ya hedhi/mwezini ni siku ngapi lakini muhimu zaidi ni kufika hospitali kjua tatizo, inawezekana kuna dawa alitumia, nk.
 
pole awai hospital but wakistop damu wakwambie chamzo, lakin kama alikueleza vizuri kama alivuka siku zake zikpitiliza kama wiki au zaidi huyo alipata ujauzito akajaribu kuutoa ndo maana hataki kwenda hospital au alipata miscarriage kabla hata hajagundua ana mimba...... kama si hivyo basi akapime uenda
1.anatatizo kwenye mfumo wa damu
2. ana maambukizi
3. ana uvimbe
4. ana kansa ya shingo ya kizazi au nyingine kwenye kizazi

kwenda hospitali ni muhimu maaana akisubiri atapata maambukizi kwenye kizazi maana damu ya hedhi huwa haijaganda na kama imeganda itakuwa inabaki kiasi ndani na kusababisha mazingira mazuri kwa bacteria kukua na kusababisha matatizo makubwa
 
Back
Top Bottom