Samahani wapendwa kuna rafiki yangu ameona siku zake leo ni siku ya kumi na moja na haoni dalili za kustop na anasema alivyokuwa anaanza alitoa damu nyingi sana akichanganika na mabonge.
Naomba ushauri afanye nini au matibabu yake ni nini?
Aende hospital kuna sindano watamchoma (dawa iko vichupa vidogo) ili kukata damu, ni hali inayoweza kutokea asishtuke sana, pia apunguze vitu vya sukari
Aende hospital kuna sindano watamchoma (dawa iko vichupa vidogo) ili kukata damu, ni hali inayoweza kutokea asishtuke sana, pia apunguze vitu vya sukari
pole awai hospital but wakistop damu wakwambie chamzo, lakin kama alikueleza vizuri kama alivuka siku zake zikpitiliza kama wiki au zaidi huyo alipata ujauzito akajaribu kuutoa ndo maana hataki kwenda hospital au alipata miscarriage kabla hata hajagundua ana mimba...... kama si hivyo basi akapime uenda
1.anatatizo kwenye mfumo wa damu
2. ana maambukizi
3. ana uvimbe
4. ana kansa ya shingo ya kizazi au nyingine kwenye kizazi
kwenda hospitali ni muhimu maaana akisubiri atapata maambukizi kwenye kizazi maana damu ya hedhi huwa haijaganda na kama imeganda itakuwa inabaki kiasi ndani na kusababisha mazingira mazuri kwa bacteria kukua na kusababisha matatizo makubwa