Msaada wa kidoctor: kuanza kuona vitki u vya ajabu kama vifo, na tatizo lilianza baada tu ya kutoka kujifungua

legacy15

Member
Joined
Mar 16, 2018
Posts
19
Reaction score
26
Kama kichwa kilivyo jieleza nina mchumba wangu ambaye amekuwa akilalamika kuwa anaona vitu vya ajabu kama vifo hili tatizo anasema lilianza tu alipo jifungua ila kwa sasa tatizo lina zidi kuongezeka kuliko lilivyo kuwa mwanzo na toka amejifungua ni mwaka sasa umepita ningependa kujua tatizo linaweza kuwa nini na namna ya kulitatua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anaonaje vifo Mkuu fafanua
 
Kifo kina rangi gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa wale wanaoamini Mungu labda linaweza kuwa ni tatizo la kiroho wala si la kutibiwa hospitali.

Mtu ataonaje kifo au akifunga macho anaona kaburi au anaona majeneza? au anawaza sana kuhusu kufa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…