Wakuu nafahamu na nina uhakika wote tuliopo hapa ni ma-GREAT THINKER japo natambua tumezidiana uwezo wa kuchambua hivyo basi naombeni msada wa kujibiwa swli hili la philosophy ikiwa ni hata kwa kupewa point tu,coz assnment haiendi
SWALI NI
"Why do you think the thinking capacity of Tanzanian students goes down day after day?
karibuni wasomi wenye point za kujenga,
SWALI NI
"Why do you think the thinking capacity of Tanzanian students goes down day after day?
karibuni wasomi wenye point za kujenga,