Msaada wa kifaa kinachotumika kusafisha picha

Joined
Dec 31, 2016
Posts
12
Reaction score
2
Samahani wanajf naomba msaada juu ya jina la kifaa kinacho tumika katika kusafisha picha za camera na sim
 
Kifaa kinaitwa printer kwa kiingereza, na kichapishio kwa kiswahili. Kuna printer za aina nyingi za picha ila mi nimeziona nyingi za Epson na Canon. Kama upo dar fika kampuni ya nzuri cartridge pale viva tower. Au itafute kwenye facebook utaona product zao.
 
Nashukuru mkubwa
 
Back
Top Bottom