Kifaa kinaitwa printer kwa kiingereza, na kichapishio kwa kiswahili. Kuna printer za aina nyingi za picha ila mi nimeziona nyingi za Epson na Canon. Kama upo dar fika kampuni ya nzuri cartridge pale viva tower. Au itafute kwenye facebook utaona product zao.