Maassai doggy
Member
- Jan 13, 2014
- 12
- 1
Wandugu mimi ninatatizo moja tu nataka nisome nifikie malengo yangu tatizo sina hela ya kuniwezesha kusoma diploma. Nataka niendelee kusomea diploma ya geologia ya madini.
Kwa mwenye kuweza kunipa msaada wa kupata mkopo wa kielimu naomba anisaidie nipate kwani mm sio mwajiliwa.
Kwa mwenye kuweza kunipa msaada wa kupata mkopo wa kielimu naomba anisaidie nipate kwani mm sio mwajiliwa.