Msaada wa kikatiba

nicetas

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2012
Posts
329
Reaction score
181
Wadau naomba kujua raisi ana kinga gani ya kutokushtakiwa kwa mujibu wa katiba akiwa madarakani sheria inasemaje najaribu kutafakari vipi wakati mkapa kaenda kutoa ushaidi mahakamani wakati wa kesi ya prof mahalu ilikuwa sahihi au
 
Ibra ya 46(1 ) ya katiba inampa rais kinga ya kutoshitakiwa akiwa madarakani.......
 
Wakuu mwenye kesi yoyote ya hospitali tafadhali anisaidie hata jina tu, hasa hizi za kuvujisha taharifa za wagonjwa "disclosure of patient records".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…