Msaada wa kilimo cha soya au mbaazi

Msaada wa kilimo cha soya au mbaazi

dali kimoko

Senior Member
Joined
Jan 25, 2021
Posts
114
Reaction score
139
Jamani mimi ni mkulima mdogo mkoani iringa nalima mahindi, lakini kutoka na hali halisi ya soko na pembejeo kuwa juu nadhani mwakani sitoweza kulima, nataka kulima soya au mbaazi, sasa sijui kitaalamu km hilo zao linastawi na wakati gani wa kulima, kama kuna mwenye taarifa nzuri basi tupeane maujanja.
 
Lima maharage, unatumia samadi na hayakosgi soko.

Lima mahindi uanzishe ufugaji wa kuku badala ya kuuza mahindi uwe unauza kuku iliolisha mahindi yako.
 
Back
Top Bottom