Jamani mimi ni mkulima mdogo mkoani iringa nalima mahindi, lakini kutoka na hali halisi ya soko na pembejeo kuwa juu nadhani mwakani sitoweza kulima, nataka kulima soya au mbaazi, sasa sijui kitaalamu km hilo zao linastawi na wakati gani wa kulima, kama kuna mwenye taarifa nzuri basi tupeane maujanja.