Msaada wa kilimo kwa wazoefu

Tafuta eneo lenye chanzo cha maji tafuta pump inch mbili pamoja na mpira wake tafuta mbegu ya bamia aina ya royal anza kulima, hautojuta ndugu maana bamia ni siku 75 tu baada ya kupanda

Sent using Jamii Forums mobile app
ntapata wp maeneo mazur mm npo dar na hio bei ya pump nchj 2 pamoja na mbegu mpka kuvuna itatosha kwa hio ela kwel

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upo Dar sehem gani na je una muda wa kutosha kukaa eneo la kilimo, kutosha itatosha ila tu inabidi ulime bamia au nyanya chungu kwa heka.

Sent using Jamii Forums mobile app
mi mwnafunz chuo na npo kawe ila kama mda wa kutembelea shamba ntakuepo nao ila kushinda ntaweza kasoro tu kulala hko mm npo kawe dam

naomba ntumie nmb zko pm ili uweze kunipa maelezo vzur ata nkipata maeneo mazur unayoyajua ww sawa tu


asante kwa hlo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…