Mijini mboga mboga bado zina soko ila.kilimo sio pesa tu unatakiwa kufanya survey ya masoko kiasi wanachotaka, ubora then unaweza anzia hapo au kuuza kwa wamama wanaouza sokoni au kupata seh emu ya kupeleka kwa order!!!!!
Pita Kariakoo sokoni kuna maduka ya mbegu unaweza pata picha juu ya bei za mbegu kama za hoho,nyanya n.k!!!!!!
Kuhusu kukodi ardhi hapo inategemea na ukubwa, ubora na upatikanaji wa maji hapo unapoweza kuweka project yako!!!! Je hapatahitaji mbolea???!!
Je unahudumia mwenyewe hiyo project au utahitaji msaidizi pia??!!!!
Vipi kuhusu spraying pump,watering cans au hose???!!!
Hapo unaweza pima nguvu ya huo mtaji kama utatosha au la!!!!