Msaada wa kimapenzi tafadhali

NAKAZIA

Sent from my TECNO KD7 using JamiiForums mobile app
 
Swali tu . Uwe mwanaume au mwanamke niambieni eti mpenzi wako akikuomba picha zako za kuonesha sehemu zako mf. Za mapaja,maziwa mwili kwa ujumla utatuma? Au utakata just asking.
Kimenuka mwambie upo lodge aje akuone sio lazima umtumie, akifika muonyeshe kwani shingapi hayo Maua hili ni tangazo?
 
Ashakuona huna akili ndo maana kakuomba.
Kwani ukiwa nae havioni? Maisha ya sasa yalivyo na changamoto nyingi za kimtandao mtu bado anakuomba mapicha picha hata kama hazioneshi sura.
 
Swali tu . Uwe mwanaume au mwanamke niambieni eti mpenzi wako akikuomba picha zako za kuonesha sehemu zako mf. Za mapaja,maziwa mwili kwa ujumla utatuma? Au utakata just asking.
'Mjinga hukubali kila neno bali mwenye busara huangalia sana jinsi aendavyo'
 
Swali tu . Uwe mwanaume au mwanamke niambieni eti mpenzi wako akikuomba picha zako za kuonesha sehemu zako mf. Za mapaja,maziwa mwili kwa ujumla utatuma? Au utakata just asking.
Mwanamke mpumbavu atatuma alafu mwanaume mjinga atawaonyesha wenzake kijiweni alafu wenzake wataenda kuzipigia nyeto
 
Utoto Bado haujaisha kwa mwanaume huyo, hafai kuwa mume..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…