Kuwa makini usije tapeliwaReal motor japan.wameniambia if you do not pay by the due date hiyo tarehe 9 we will suspend your account.
Shukrani mkuu kwa mawazo,japo nimekata tamaa kabisa ya kuagiza hakuna dola kwenye bank zote na hawakubali TT transfer toka asubuh natafuta imebidi sasa nirudi tu home kusubiri itakuwaje naombeni ushauri.nasikia beforward unaweza lipa kwa Tz shillings kwenye account yao ya Tz?
Hamnaga kitu kama hicho. Nimeshapitia hiyo situation mara zaidi ya 10. Cha msingi unawasiliana na muuzaji na unamwambia sababu ya kuchelewa kufanya malipo.Imetumwa leo,nahisi wataireport account yangu kwamba ni tapeli.
Hamnaga hiyo kitu, kampuni gani hiyo wamekutumia vitisho namna hiyo?Hapana,wamenitumia message hii,please note we might suspend your account if you do not pay your order by the due date.
Huyu au ameagiza gari Instagram?Hakuna kitu kama hicho
Mimi nmeagiza gari miezi miwili iliyopita SBT
Hakuna sehemu nlifosiwa kulipa,
Wao usipolipa wanarudisha gari sokoni basi
Ni kampuni gani iyo??
Nashauri usifanye haraka kulipa!!!!!!
Jiridhishe upya!!!
Ndo mara ya kwanza sijawahi.Real motor japan hao.leo nimewajulisha sitaweza kufanya malipo nimekosa dollar.Hamnaga hiyo kitu, kampuni gani hiyo wamekutumia vitisho namna hiyo?
Au huwa unakwenda kuzuia gari unaomba proforma invoice halafu haununui?
Achana nao fasterWanajukwaa naombeni msaada kwenye hili,nimeagiza gari japan na nimetumiwa profoma invoice na details za kibank kwa ajili ya kulipia inasema tarehe ya mwisho kulipa ni tarehe 9/8/2023 kwa saa za japan.Nimekwama hapa bank nnayotumia mimi leo nanenane hawafungui inamaana mpaka kesho ndo wanafungua,na japan wako mbele masaa yao zaid yetu,nahsi ntakuwa nje ya mda.nifanyeje? Niwaambie waniongezee muda?na wamesema nisipolipa mpaka tarehe walotoa watanireport naombeni ushauri wenu wazoefu
NAKAZIANashauri usifanye haraka kulipa!!!!!!
Agizia na kampuni zenye reputation kama Befoward, Autocom Japan, SBT hawa wanaweza kukupa option nyingi sana hata ukiwa na hela nusu gari wanakupakizia kwenye meli salio unakuja malizia gari ikiwa inakaribia kufika au ikishafika bandari kabla haujapewa karatasi zake kwaajiri ya kuiprocess.Ndo mara ya kwanza sijawahi.Real motor japan hao.leo nimewajulisha sitaweza kufanya malipo nimekosa dollar.
Agizia na kampuni zenye reputation kama Befoward, Autocom Japan, SBT hawa wanaweza kukupa option nyingi sana hata ukiwa na hela nusu gari wanakupakizia kwenye meli salio unakuja malizia gari ikiwa inakaribia kufika au ikishafika bandari kabla haujapewa karatasi zake kwaajiri ya kuiprocess.
Hao waliokupa vitisho ninahisi ni matapeli. Kuna wakati website ya Real Motor, ukifungua kupitia Google Chrome, ilikuwa inaonesha security yake si salama. It wasn't safe. Huenda kuna matapeli wameikamata.Shukrani mkuu kwa mawazo,japo nimekata tamaa kabisa ya kuagiza hakuna dola kwenye bank zote na hawakubali TT transfer toka asubuh natafuta imebidi sasa nirudi tu home kusubiri itakuwaje naombeni ushauri.nasikia beforward unaweza lipa kwa Tz shillings kwenye account yao ya Tz?
Sasa hawa wao ndo matapeli hakunaga biashara yenye lugha mbovu na kutishana kifala ivo, na hata ukiona vipi temana nao, tafuta gari kwa makampuni mengineHapana,wamenitumia message hii,please note we might suspend your account if you do not pay your order by the due date.