Mimi ni kijana wa umri wa miaka 26 nimeajiriwa katika kampuni moja mjini dar nina degree ya IT n' not married,
naomba msaada wa kimawazo coz nataka kujiendeleza kimasomo au kufanya Biashara au vyote.
1)kujiendeleza kimasomo
kazini naingia 2:30 asubuhi na kutoka saa 11:30 jioni kila siku kasoro weekend,
je naweza kusoma wapi na course gani unadhani ni nzuri kutokana na hali ya Nchi yetu ilivyo
ktk swala la ajira na muda wangu je ntaupangilia vp?.
note:naweza kusoma online as you advice
2)Kufanya biashara...
kutokana na ajira na hali ya maisha ilivyo ngumu hapa Dar from mshahara naweza kusave laki 4 tu kwa mwezi na kiasi hiki ni kidogo sana.
vp unanishauri nifanye biashara gani na ukizingatia muda wangu wa kuingia kazini 2:30 asubuhi na kutoka saa 11:30 jioni
kila siku kasoro weekend
3)wewe unashauri vp kuhusu kusoma na kujiingiza kwenye biashara vyote kwa pamoja.
Ahsante na Mungu akubariki.