Msaada wa kimawazo wakuu

FROWIN

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2012
Posts
213
Reaction score
84

  • WAKUU HABARINI

    Nahitaji kusoma Masters ya ICT chuo kikuu huria, OUT, mwenye ufahamu ni jinsi gani natakiwa kuenenda, yaani wanadahili lini, gharama za kozi, muda gani ntachua kumaliza na mambo mengine yahusikayo, mana kwenye website yao sijafanikiwa kuona chochote katika tajwa hapo juu.

    Msaada wenu ni wa muhimu sana

    Nawasilisha​





 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…