Msaada wa kimawazo wana jf kuhusuu...!

Mr. Masasi

Member
Joined
May 12, 2011
Posts
53
Reaction score
4
Hivi inawezekana kweli nikatumia provisional result kuingia jeshin,Kwan kwa tarifa za kipaparaz mwez wa 12 nafas za profesional jeshin zaweza kutoka na mimi nikiwa namaliza chuo mwaka huu! Msaada wa kimawazo wa jf! Thanks.
 
Mkuu,maombi yoyote ya serikalini provisional result haikubaliwi lakini unaweza omba kwa sifa ulizonazo result ikitoka utawajulisha viongozi wao watahifanyia kazi.
 
Nafikiri inawezekana ...cha maana ni kuwa na taarifa zingine za ziada toka chuoni kwako km vile barua etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…