MOMPRENEUR
Senior Member
- Jun 18, 2016
- 195
- 126
Habari zenu kuna mwanamke anataraji kufunga ndoa kesho kutwa na anajisikia dalili za kupata hedhi na huwa anapata maumivu makali hivo anahitaji kujua ni dawa gani itayomsaidia kuzuia asipate hedhi mwezi huu? msaada wenu wakuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app