cha maana ni kwamba kama usipompata mfadhili na uwezo wa kutoa fedha zote huna ni bora kutafuta coz nyingne ambayo unaweza kuimudu kwa ada yake!,, maana hata ukipewa asilimia mia ya mkopo utahitajika uwe na 20 milion for five years,,
kumbuka mshahara wa daktari wa kawaida ni laki 9 tu!,, hadi kufikisha milion ishirni unatakiwa ufanye kaz miaka mitatu,, hapo ni kwamba boom umepata mia!, kama hukupata mia kitendawili kingne hcho!
Angalia mbele kipi bora,,,?